Advertisements

Sunday, June 26, 2011

Mama Maganga akamata Nondoz

Mama akitayarishwa tayari kwenda kwenye Graduation iliyofanyika Verizion Center,Washington,DC Jumamosi June 25,2011
Mama Maganga akiwa na wahitimu wenzake
Mama Maganga akitabasamu
Mama akipongezwa na Baba,Mwambata wa Jeshi Ubalozi wetu Washington,DC,Colonel Maganga
Familia ndugu na marafiki waliofika Verizion Center kumongeza
Mama Balozi Mwanaidi Maajar akimpongeza Mama Maganga nyumbani kwao Baadae jioni kwenye ghafla ndogo aliyoandaliwa Mama Maganga maaulumu kwa kukamata Nondo ya Master Of Public Administration
Wageni mbali mbali ndani na nje ya Washington,DC,walifika kumpongeza Mama Maganga,pichani anayesalimiana na Mama Maganga ni Mh Balozi wa Maziwa makuu,Liberata Mulamula,kushoto ni Colonel Maganga,mwambata wa jeshi Ubalozi wetu,Washington,DC na wapili kutoka shoto ni Mh.Balozi wetu Marekani na Mexico,Mwanaidi Maajar,kwa picha zaidi Bofya Read More

1 comment:

BAYBE said...

PICS ARE GOOD UNFORTUNATE I WAS SICK