Advertisements

Friday, October 5, 2012

MAANDALIZI YA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012 NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB YAPAMBA MOTO

Gari la Clouds TV mahalum kwa kurushia matangazo live siku ya fiesta

Vijana wa kazi wakiandaa hema litakalo kuwa nyuma ya stage

Kijana akiweka matangozo ya wadhamini wa fiesta kinywaji cha serengeti

Hivi ni vyoo mahalum vitakavyo patikana sehem hiyo ya tukio kwa ajili ya wapenzi hili waweze kujisaidia bila kuchafua mazingira kwa kujisaidia ovyo

No comments: