Advertisements

Thursday, May 31, 2012

LIBENEKE LA WANA PHILADELPHIA, USA


Tanzanians & Swahili Speakers in Philadelphia

Libeneke jipya la wanaphiladelphia kwa kuperuzi Bofya hapa http://www.meetup.com/Tanzanians-in-Philadelphia/

JOY ANDY WITH CLASS OF 2012 GRADUATION

 
Joy Andy Na Smile Kubwa Usoni Baada Ya Ku Graduate City University of New York Queens College. Na Kukamata Ndondo Za Bachelor Of Business Administration In International Business, And Bachelor Of Arts In Economics. Vijimambo Inakupongeza Na Kukutakia Mafanikio Ambayo Utayatumia Kutokana Na Elimu Hiyo.

Hapa Ni Ukodak Moment Na Marafiki Zake. Picha na Ny Ebra!!

Funeral Info (Kamal Dahoma)


WanaJumuia,

Kama nilivyowajulisha asubuhi hii kwamba kaka yetu, rafiki yetu, na mwnajumuia mwenzetu - Kamal Dahoma - amefariki dunia jana jioni. 

Tumuombee Mungu ampeleke mahala pema peponi - Ameen.

Maziko yatafanyika kesho Alkhamis saa saba mchana katika msikiti uliopo kwenye address ifuatayo:
     1301 East Las Tunas Drive
     San Gabriel, CA 91776

Halafu tutakwenda makaburini kwenye anuani ifuatayo:
     200 E. Duarte Road
     Monrovia, CA 91016


Familia ya marehemu inaishi katika anuani ifuatayo:
    4503 Walnut Grove #6
    Rosemead, CA 91770  


Mke wa marehemu anaitwa Rahma. Namba yake ya simu ni 626-572-7534.

Naomba tuwafariji familia ya marehemu.

Ahsanteni.

Wenu katika majonzi,
Rabia Dahal

JESTINA GEORGE ON AFRICAN FASHION & DESIGNS


Jestina George is a fashionista, blogger, Presenter and a model based in London, from Tanzania the land of Kilimanjaro. AILTV caught up with her at the the launch of READY TO WARE by Anna Luks. Jestina is speaking is expressing her concerns about African fashion and designs.

NGOs ROUND TABLE DISCUSSION IN WASHINGTON DC

 1 & 2 - H.E Mwanaidi Sinare Maajar delivering her opening remarks during the NGOs Roundtable Discussion organized by the Embassy of Tanzania in Washington D.C. May 31, 2012
 Mrs. Lily Munanka, Head of Chancery at the Embassy of Tanzania in Washington D.C. introducing some of the speakers during the NGOs Roundtable Discussion held at the Embassy Suites Hotel on May 31, 2012.
 Ellen Peterson Desk Officer for Tanzania, from the  U.S. Department of State speaking to the gathering about wide range of programs and outreach initiatives done by the Department of State during the NGOs Roundtable Discussion organized by the Embassy of Tanzania in Washington D.C.
  Anna Mukami praising the work that has been done by Ambassador Maajar and her team at the Embassy for organising  the NGOs Roundtable Discussion. Next to Ambassador Maajar is Dr. Switbert Mkama, Counselor Public Affairs in the Embassy of Tanzania in Washington D.C.
Jeff Hillesland from Gundersen Lutheran, an organization based in LaCrosse Wisconsin delivering a vote of thanks at the NGOs Roundtable Discussion organized by the Embassy of Tanzania in Washington D.C. The meeting was attended by over 70 (NGOs) institutions from around the US, with about 170 participants.

HOM Speech at the NGO Round Table Discussion May, 2012

EMBASSY OF TANZANIA IN THE UNITED STATES OF AMERICA

NGO ROUND TABLE DISCUSSION

Speech by Mwanaidi Sinare Maajar, Ambassador of Tanzania in the United States of America and Mexico

THE ROLE OF THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION AND THE EMBASSY OF TANZANIA IN WASHINGTON DC IN FACILITATING NGOS ACTIVITIES IN TANZANIA
------------------------------------------------------------------------

Introduction

Good Morning Ladies and Gentlemen, Dear Friends of Tanzania.

It is my pleasure to welcome you to this very important Round Table discussion. KARIBUNI SANA.

The Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation through its embassies abroad has the responsibility of delivering our foreign policy. Engaging host countries, multilateral institutions and other non-state actors is part of that responsibility. This is the essence of this meeting.

MWANAMUZIKI-LINAH ATUA BONGO NA TAYARI KWA MAKAMUZI YA MISS MWANZA KESHO IJUMAA JUNE 1, 2012

 Mjengo anoaishi mwanamuziki wa kizazi kipya Linah ambae ametua Bongo tayari baada ya kumaliza US TAMANI TOUR.
 Mwanamuziki wa kiazazi kipya akiwa ndani ya mjengo anaoishi jijini Dar Es Salaam.
 Linah ( wapili toka kulia) akiwa na mdogo wake wa kike, Mama Mzazi na kaka yake walipofika kumlaki Julius Nyerere International Airport, Dar Es Salaam.
 Linah (kushoto) akipata picha ya pamoja na Mama yake mzazi na mdogo wake wa kike
 Picha juu na chini ni Linah akipata ukodak moment mara alipowasili Julius Nyerere International Airport, Dar Es Salaam.
Linah akipata Ukodak Moment na rafiki yake mkubwa Lulu.

CITY SPORTS LOUNGE SIKU UFUNGUZI!!!

Naibu waziri wa Mawasiliano akisalimiana na Juma Pinto
Siku ya Ufunguzi wa City Sports Lounge, picha za wananchi mbali mbali waliohuduria wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Club, Bw. JumaPinto, (mwenye fulana ya kijani), hapa chini aliyesimama ni Mjumbe wa UV-CCM, Taifa, Mh. Ridhiwani Kikwete.

(Picha kwa hisani ya http://williammalecela.blogspot.com/)

Maige amvaa Nape


  Amtaka ajipime kazi imemshinda
  Ajibiwa kuwa yeye siyo zaidi yake
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige
Ezekiel Maige aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye alitemwa katika Baraza la Mawaziri mapema mwezi huu,  amemvaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, akimtaka aache tabia ya kutoa kauli ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaelekea kukidhohofisha chama.

Maige ambaye pia ni Mbunge wa Msalala (CCM) Mkoani Shinyanga, alitoa kauli hiyo jana wakati akizindua matawi mawili ya wakereketwa wa CCM ambao ni wajasiriamali katika kijiji cha Isaka wilayani Kahama na kusema kuwa hivi sasa kuna wimbi kubwa la wanachama wa chama hicho kuhamia chama kingine.

Diamond On Stage

Taste of Tanzania

Kim: Ivory Coast inafungika


Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Michezo na Maendeleo ya Vijana, Amos Makala akimkabidhi Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,(Taifa Stars) Juma Kaseja, Bendera ya Taifa baada ya kuiaga timu hiyo inayotarajia kuondoka leo kuelekea nchini Ivory-Coast kwa ajili ya mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia.Picha na Jackson Odoyo.
Sosthenes Nyoni
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema wanakwenda Abidjan, Ivory Coast na watawaduwaza Ivory Coast kwa mchezo wao wa kwanza kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia, 2014 zitakazofanyika Brazil.

Stars na Ivory Coast zilizopambana Mei 2010 kwenye Uwanja wa Taifa na Ivory Coast kushinda bao 1-0, zitacheza mechi yao Juni 2 ikiwa ni takribani miaka miwili, mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Houphouet Boighny ulioko katikati ya jiji la Abidjan.

Timu hiyo imeondoka leo alfajiri ikiwa na msafara wa watu 32 wakiwemo wachezaji 23 na viongozi tisa akiwemo mwandishi wa habari wa magazeti ya Mwananchi Communications Ltd.

Wachezaji hao na viongopzi waliagwa jana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Amos Makalla na Kim aliwaambia wachezaji wake kwamba njia pekee ya kuweza kuaminiwa na Watanzania ni kuhakikisha wanashinda pambano hilo.

WANAUME WANAOONGOZA KWA KUVUNJA NDOA ZA WATU

NDUGU zangu, katika maisha ya sasa kuna watu flani ambao ukiona wana ukaribu uliopitiliza kwa mke wako, jua kuna jambo nyuma ya pazia na ukishangaashangaa unaweza kujikuta unamegewa penzi lako hivihivi.
Hiki nitakachokielezea leo nimekifanyia uchunguzi wa muda mrefu na kwa wale waliokumbana na hali halisi ya mambo, watakubaliana nami kwa asilimia zote. Juzi nilipata bahati ya kusuluhisha ugomvi wa rafiki yangu ambaye yeye na mkewe ni wafanyabiashara.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012 Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012 na Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe Ikulu jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012 kutoka serikali ya Burundi alioletewa na Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe alioupokea Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 30, 2012 toka kwa Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. shoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania.
PICHA ZOTE NA IKULU

WILFRED AWASILI MKOANI KILIMANJARO

 Wilfred Moshi ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufika kilele cha mlima mrefu
kiliko yote duniani amewasili jana saa saba mchana Nchini. Tunamshukuru
sana Mungu kwa kumlinda.
Wilfred Moshi akilakiwa na ndugu, jamaa na marafiki
Wilfred Moshi akiongea na waandishi wa habari (Picha na Mdau Rodrick Mmary Moshi)

WABUNGE WA CHADEMA WAANGALIA MTANANGE LIVE USA VS BRAZIL


Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe, Peter Msigwa na Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo janja, wakiwa na uwongozi wa tawi la Chadema Washington Dc Libe Mwangombe, wanne, Mjomba a.k.a Cosmas, Mzee wa swahilivilla Aboh Shatry wa pili kulia, pamoja na mashabiki wa US, wakiiunga mkono bendera ya taifa.
Idadi ya wapenzi waliohudhuria katika mpambano huo ni 67,656 wakiwemo  Mhe. Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter Msigwa. 
Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil ndani ya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini marekani.
Picha ya pamoja na viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na Brazil Usiku wa kuamkia leo  Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani
Wabunge wa  Mhe. Nassari Joshua na Mhe. Peter Kusigwa wakiwa na Bendera ya Taifa wakishangilia Bao la  kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti na mchezaji Neymar

Wednesday, May 30, 2012

JIBRIL JAHA AKAMATA NONDOZ

Jibril Jaha akiwa mwenye furaha baada ya kukamata Nondo ya Bachelor's Degree in Biochemical Engineering katika chuo cha Rochester NY
Jibril Jaha akipiga picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki baada ya kukamata Nondo

Plan your future today with NSSF's WESTADI Scheme
NSSF has now ventured into extending its services to Tanzanians living abroad through special Diaspora coverage scheme called Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora - WESTADI, 
to cover all Tanzanians living abroad ( Including Students ) and 4 dependants selected by the insured person for Social Health Insurance Benefits (SHIB) in Tanzania.

The Scheme is an Insurance arrangement targeting to register Tanzanians who live and study all over the world.

*The Insured person will be supposed to pay a token Premium of $300 per year in return of a generous benefit packages.

The benefit package will include Repatriation Benefit that covers the cost of air carriage back home of a deceased Insured person’s body plus a free return air ticket for one accompanying person in the event of death. Alternatively, the scheme will cover the cost for burial services if the insured person opts to be buried overseas (respective Diaspora Country).

The Insured person will be allowed to choose and register next of kin who will lodge a claim in case of the Insured person`s passing on.

The Scheme will  also provide access to medical care to the Insured person when visiting Tanzania at any time and for whatever reason. The Insured person will also be asked to name any four dependants of his/her choice who are living in Tanzania who will be eligible to free medical care.

To qualify for the scheme`s generous packages the Insured person is required to be current on premium payment.

Plan your future today with WESTADI

Join now through www.nssf.or.tz or CLICK HERE 


race for the cure 
To all Tanzanians and our friends, we have race for the cure coming up. We would everyone to participate to this event so we can present our country and have our country on the map of fighting with this disease. So there is one website that everyone can use to register and to send donations. The Team Page URL is http://globalrace.info-komen.org/goto/tanzania.

The Race is on June 2, 2012 at 7:00am. The fee to register as a walker is $40. Our team goal for donations is $3000 and we've reach $550 so far. and lastly  We are selling the Team Tanzania T-shirts for $20.

Important Deadlines:
·         The last day to register for the race is May 30. 
·         The last day to send donations online is June 2.
·         Anyone who registers after May 20 will have to pick up their shirts and bibs during Race Week, which is May 28- June 2. (i will send you more information about the location to pick up the shirts as soon as i get it)
Any concern or questions please let us know by email givmb@hotmail.com
Thank you all
Givens Kasyanju

Taylor afungwa miaka 50 jelaRAIS wa zamani wa Liberia, Charles Taylor amehukumiwa kifungo cha miaka 50 jela na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai iliyopo The Hague, Uholanzi. 

Hukumu ya mwanasiasa huyo anayejulikana kama ‘Bwana wa Vita’, ilitolewa baada ya mahakama hiyo kuridhishwa na ushahidi kuwa alihusika kuwaficha, kuwasaidia na kupanga mikakati na waasi waliokuwa wakifanya vitendo vya unyanyasaji na utesaji wakati wa utawala wake. 

Akisoma hukumu yake jana, Jaji wa mahakama hiyo, Richard Lussick, alieleza kuwa Taylor anastahili adhabu hiyo ya kifungo cha muda mrefu ili iwe fundisho kwa viongozi wengine wa kada yake wanaojihusisha na makosa ya jinai kama hayo. 

TAARIFA YA KUJIUNGA NA CHAMA

TAWI  LA WASHINGTON, DC MARYLAND NAVIRGINIA
 Tunapenda kuwatangazia wana DMV wote kwa wale ambao bado hawajaweza kujiandikisha na  wanapenda  kujiunga na Chama Cha Mapinduzi tawi la DMV, tafadhali tuma jina, anuani na simu yako kwa email;.............. pia kwa maelezo zaidi wasiliana na vingozi wa Tawi Email address:ccmwashdc@gmail.com 1. Loveness Mamuya – Mwenyekiti…….. 240-423-0437

 2. Yacob Kinyemi – Katibu ……………………. 202-629-7841

 3. Lemi Mhando ……………………………………..202-361-1059
 4. Benjamini  Mwaipaja …………………………….-202 629 7334
 5. Given Kasanju…………………………………………443-433-6968
 6. Alawi Omar…………………………………………..301-339-3765

Taratibu za kugawa kadi na sherehe za ufunguzi wa Tawi zitafanyika rasmi hivi karibuni, mwana CCM ukipata taarifa hizi mfikishie mwanachama mwingine
 Kidumu Chama Cha mapinduzi, CCM Oyee!
 Uongozi wa Tawi CCM DMV

SHUKRANI TOKA TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC. USA

May 28, 2012


Tawi la CHADEMA Washington DC.
           
            Kwa niaba ya uongozi wa tawi la CHADEMA Washington DC. napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walio hudhuria ufunguzi wa tawi la CHADEMA uliofanyika Tarehe 27 May 2012 Washington DC nchini Marekani katika ukumbi wa Mirage Maryland.
            Aidha nawashukuru wageni waalikwa, Naibu katibu mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe, Mbunge wa Viti maalum kutokea Jimbo la Kwimba Mama Leticia Nyerere, Mbunge wa Iringa mjini Mh. Peter Msigwa, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nassari na Mbunge wa Viti maalum kutokea Zanzibar Mh. Mariam Msabaha kwa kutumia muda wao wa thamani kukaa na watanzania tuishio Marekani kubadirishana mawazo na kutuelezea mstakabari wa nchi yetu (Mama Tanzania) kijamii, kiuchumi na kisiasa.
            Mwisho napenda kuwashukuru watanzania wote walio hudhuria mkutano huu. Kwa kweli tumefarijika sana kuona utayari wa mioyo yenu kutaka mabadiliko (M4C) na uwazi wa kujielezea mawazo yenu bila kua na hofu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Asanteni sana kwa ushirikiano usio na mipaka


Katibu Mkuu-CHADEMA WASHINGTON DC

Liberatus Mwangombe

Magazeti Kenya yapotosha kuhusu ZanzibarWAKATI nchi jirani ya Kenya ikikabiliana na tatizo la kiusalama linalotishia biashara ya utalii baada ya kulipuliwa kwa maeneo kadhaa nchini humo, Serikali imesema mji wa Zanzibar na Tanzania ni salama kwa watalii. 

Tamko la Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamisi Kagasheki lililotolewa na Naibu wake, Lazaro Nyalandu jana lilieleza kuwa hali ya ulinzi na usalama kwa watalii ni shwari Zanzibar na Tanzania kwa jumla. 

Nyalandu katika taarifa hiyo, alifafanua kuwa baadhi ya mitandao ya kimataifa na vyombo vya habari vikiwemo vya Kenya, imeripoti kwa upotofu wa makusudi, kuwa kuna hali ya wasiwasi kwa watalii wanaotaka kutembelea Zanzibar. 

NGOs ROUND TABLE DISCUSSION MAY 31 2012