Advertisements

Tuesday, September 10, 2013

MATUKIO AFRICA KATIKA PICHA

Mjini Johannesburg, mtu huyo ametoa chupa kuu kuu kwenye jaa la taka kupeleka viwandani ambako chupa nyengine mpya hutengezwa
Watoto hawa wanigeria ni mapacha ambao viungo vyao vimeshikana , hapa ni baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India
Wakati mjini Mogadishu siku ya Jumanne , polisi anatoroka eneo kulikotokea mlipuko wa bomu katika kiwanda kimoja cha Petroli katika uliokuwa ubalozi wa Marekani. Marekani ilifunga ubalozi wake mjini Mogadishu zaidi ya miaka ishirini iliyopita baada ya nchi kutumbukia kwenye vita
Watu wanaoenakana hapa wakiokota karatasi na plastiki katika jaa la taka nchini Ivory Coast . Hutumika kwa kutengeza chupa na karatasi za plastiki

No comments: