Advertisements

Sunday, October 26, 2014

HARUSI YA SIMON NA ANGIE YAFANA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA

Simon na Angie wakishuka kwenye gari tayari kuingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 25, 2014 mjini Winston Salem jimbo la North Carolina nchini Marekani.
Bwana na Bibi harusi wakiingia ukumbini huku wakisindikizwa na waimbo wa Issa Matona Kimasomaso.
Bwana na bibi harusi wakiwa meza yao katika siku yao maalum ya harusi yao.
Bwana na bibi harusi katika densi yao ya kwanza kwa mara ya kwanza kama mume na mke.
Bibi harus akicheza na baba yake Bwn. Thom Chesebro

Bwana harusi ankicheza na Aunty Esther kama mama yake.

Bwana na bibi harusi wakilishana keki.

Bwana na bibi harusi wakichum baada ya kunywa mvinyo.

Bwana harusi akitoa neno la shukurani

Bi harusi akitoa neno la shukurani.
kwa picha zaidi za reception na ndoa bofya soma zaidi

Wakina mama wakimuzawadia bibi harusi.

Wakina mama wakiendelea kumzawadia bibi harusi.
Wazazi wa bibi harusi.
Fredrick Chagula akiwa kama mzazi wa bwana harusi.

Wapambe wa maharusi
Pasto Er Grover akimpongeza Angie.
PICHA KWENYE NDOA YA SIMON NA ANGIE

2 comments:

Anonymous said...

LOVE IT!!!!...nice wedding. Hongereni sana, Mungu awabariki.

Anonymous said...

Bwana Luke, kuna binti hapo mzuri haswa ila sijajua kama ni mke wa mtu maana mkono wa pete haonekani katika picha zote na kitu kingine naona kama anaumri mdogo kwa sura na umbo lake. Amevaaa gauni jekundu (color blind).