Advertisements

Monday, October 20, 2014

ZIARA YA BAWACHA YAANZA KWA KISHINDO KWA KUTIKISA MWANZA

Viongozi wa BAWACHA wakiongozwa na Mhe. Halima Mdee wakipata picha ya pamoja mara tu walipowasili jijini Mwanza,
Wananchi mkoani Mwanza wakiwa kwenye wenye wingi wa fuaraha baada ya kupokea ujiwa wa viongozi wao wa BAWACHA.
Ni vigelegele na vifijo
Msafala wa wanachi wa Mwanza na viongozi wa BAWACHA

No comments: