Advertisements

Friday, November 28, 2014

RAY RICE ASHINDA RUFAA SASA ANAWEZA KUCHEZA

Ray Rice
Ray Rice

Mchezaji wa zamani wa timu ya football ya Baltimore Ravens Ray Rice ameshinda rufaa yake aliyokua amefungiwa na chama cha mchezo huo NFL kucheza mchezo huo wa Football ambao ni maarufu nchini Marekani

Mchezaji Ray Rice sasa anaweza kujiunga na timu yeyote baada ya mahakama kuondoa pingamizi alilokua amewekewa na NFL.

Ray Rice alifungiwa mechi 2 mwezi Septemba mwaka huu baada yakubainika kumpiga wakati huo akiwa mchumba wake Janay. Na baada ya video kutoka hadharani kwenye tv na mitandao bodi ya NFL ilibadilisha uamuzi wake na umfungia msimu mzima mchezaji huyo kwa kosa la kumpiga Janay ambaye sasa ni mke wake..

No comments: