Advertisements

Monday, May 30, 2016

MISS TANAZANIA USA PAGEANT AEESHA KAMARA AONGEA NA WANAFUNZI WA KENTON HIGH SCHOOL

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara akiongea na wanafunzi wa Kenton High School ya Tabata jijini Dar es Salaam siku alipotembelea shuleni hapo katika moja ya majukumu yake ya kuhudumia jumuiya.
Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akimkabidhi msaada mwalimu mipira siku alipotembela shule ya Kantona high school ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Miss Tanzania USA Aeesha Kamara akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wawili anaowadhamini kwa kuwasomesha shuleni hapo.
Picha ya pamoja

No comments: