EXECUTIVE COMMITTEE
Bw. Lambert Tibaigana - Rais wa THC
Bw. Suleiman Karinga - Makamu wa Rais THC
Bi. Anasa Kambi - Katibu Mkuu wa THC
Bi. Anneth Asenga - Muweka Hazina wa THC
Bw. Cassius Pambamaji - Afisa Mawasiliano wa THC
Wajumbe wafuatao walichaguliwa kuwa wajumbe wa Baraza la Wadhamini ( Board of Trustees) :
Bw. Goodluck Mbise
Bw. Jona Mwanukuzi
Dr. Angela Lyimo
Pata picha za Mkutano huo wa Uchaguzi kwa hisani ya Kamera ya kaka Lenny Mangara hapa chini
Rais Mpya wa THC Bw. Lambert Tibaigana |
Makamu wa Rais mpya wa THC Bw. Suleiman Karinga |
Katibu Mkuu mpya wa THC Bi. Anasa Kambi |
Muweka Hazina Bi. Aneth Asenga
|
No comments:
Post a Comment