Advertisements

Sunday, December 2, 2018

PICHA 278 KALI ZA BIRTHDAY YA EDDAH GACHUMA

Eddah Gachuma akipata ukodak moment siku ya bash lililofunga mwaka November 24 siku aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa katika hotel ya Marriott iliyopo BWI Baltimore, Maryland. Picha na Andrew.
Eddah akiingia ukumbini huku akisindikizwa na mwanae Muddy.
Eddah akipokewa na baba mwenye nyumba wake.
Litungu likichezwa.
Eddah akijiandaa kukata keki.
Picha ya familia.
Eddah  akiongea neno la shukurani.
Walikua na birthday mwezi November wakifungua champagne.
Birhday Girl akimimina champagn kwa wageni wake.
Marafikiwa Eddah wakichop minoti kwa rafiki yao. Kwa picha  zaidi bofya soma zaidi

Muziki ukufunguliwa kwa mduara.
Densi likiendelea.

 

No comments: