Advertisements

Sunday, May 26, 2019

BABY SHOWER DMV

Wasitatoka kushoto ni Monecia, mma kijacho akipata picha ya pampja na wageni wake waliofika kwenye baby shower iliyofanyika siku ya Jumamosi May25, 2019 Marriotsville, Maryland.
Kushoto ni Michaela ambaye ndie baba mwenye nyumba wake  Monecia akiwa katika picha ya pampja na wageni wake waliofika kwenye baby shower iliyofanyika siku ya Jumamosi May25, 2019 Marriotsville, Maryland.
Ndugu jamaa na marafiki wakipata ukodak moment.
 Baby shower iliyofanyika siku ya Jumamosi May25, 2019 Marriotsville, Maryland.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: