Advertisements

Sunday, May 26, 2019

BALOZI MASILINGI ASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA DMV


Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. WilsonMasilingi (watatu toka kushoto)akiwa katika picha ya pamoja  na mwenyekiti wa  Tanzania Muslim Community DMV(TAMCO) Ally Mohamed (kulia) na baadhi ya viongozi na waTanzania waDMV walioshiriki futari ya pamoja iliyofanyika siku ya Jumamosi May 25, 2019 Silver Spring, Maryland.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akishiriki futari ya pamoja na waTanzania DMV siku ya Jumamosi May 25, 2019 Silver Spring, Maryland. Katika Picha Mhe. Balozi Masilingi akiongea na waTanzania walioshiriki futari ya pamoja na akijibu moja ya maswali kuhusianana uwekezaji nchini Tanzania na baadae Jumuiya hiyo ya Kiislam DMV walimkabidhi zawadi Balozi huyo waTanzania nchiniMarekani.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wislon Masilingi akiwa amekaa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya hiyo aliposhiriki futari ya pamoja iliyofanyika siku ya jumamosi May 25, 2019 Silver Spring, Maryland.

 Kwapicha zaidi bofya soma zaidi

No comments: