Advertisements

Sunday, May 26, 2019

birthday ya dada wawili

Keki ya birthday ya watoto Salima na Unique katikakusherehekea siku yao hiyo muhimu nyumbani kwao Silver Spring, Maryland siku ya Jumamosi May 25, 2019.
Mtoto Unique (kati) na marafikizake wakifurahia jambo.
 Salima na Unique wakijiandaa kukata keki siku ya Jumamosi May 25, 2019 waliposherehekea siku yao ya kuzaliwa na marafiki zao.
 Watoto Salima na Unique wakikata keki.
 Watoto Salima na Unique wakilishana keki.
Watoto Salima na Unique  wakimlisha keki
 Msanii wa kizazi kipya (Bongo Flava) Youg D (kulia) akipatapicha na shabiki wake.

kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: