Advertisements

Monday, May 27, 2019

FAMILIA YA LIGATE WAFANYA IBADA YA MISA YA SHUKURANI YA WAZAZI WAO.DMV

Kushoto ni mchungaji John Mbatta na Mwinjilisti Ailen wakiongoza Ibada ya misa ya shukurani ya marehemu Brig Gen Protipher Ligate na Mama Nderikyo Elizabeth Ligate iliyofanyika siku ya Jumamosi May 26, 2019 katika kanisa la  Kilutheri la Ibada ya Misa lililopo Rockville, Maryland.
Mchungaji John Mbatta akitoa mahubiri.
 Kushoto ni Obed Ligate na Phanuel Peter Ligate wakifuatilia ibada ya misa ya shukurani ya wazazi wao.
Kutoka kushoto ni Obed, Phanuel na Guy wakifuatilia ibada hiyo.
 Juu na chini familia ikiombewa maombi maalum.
Familia wakipata mapokeo.
Ibada ya misa ya shukurani ikiendelea
Watoto wa familia ya Ligate wakifuatilia ibada ya misa ya babu na bibi yao
Obed Ligate akitoa neno la shukurani kwa picha zaidi bofya soma zaidi


 Picha chini ni waimbaji wa nyimbo za ijili kanisani hapo.
Picha chini wanafamilia wa Ligate wakipokea mkono wa pole

No comments: