Advertisements

Thursday, May 16, 2019

MARTIN SEGEJA AKAMATA NONDOZ

Martin Beatus Segeja mtanzania pekee aliyemaliza degree ya Mechanical Engineering katika chuo Kikuu Cha Texas Christian University (TCU) , mjini Dallas Fortworth, Marekani tarehe 11 Mei, 2019 . Kwa kipindi chote hicho ndugu Martin ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania na miaka yote 4 amekuwa balozi Mzuri mpaka alitengenezewa scaff ya bendera ya Tanzania.
Martin Beatus Segeja katikati akiwa na wazazi wake, na ndugu wengine wa familia siku ya graduation yake tarehe 11 Mei, 2019. Kulia ni Baba Mzazi Bw. Beatus Segeja na Kulia ni Mama mzazi Bi. Violeth Segeja. Wengine kwenye picha ni ndugu Abdallah Juma, Consolata Nyaki, Patricia Segeja na Father Msula

2 comments:

Unknown said...

Congratulations champ...we are proud Tanzanians....

Unknown said...

Congratulations champ......we are proud TANZANIANS....