Advertisements

Tuesday, May 21, 2019

MR TZ, MA WINNY CASEY WANOGESHA TAMASHA LA UBUNTU

Tamasha la Ubuntu lililofanyika siku ya Jumapili May 19, 2019 Downtown Silver Spring lililoratibiwa na Jumuiya ya nchi kusini mwa Africa SADC (Southern African Development Community)nchi ambazo zipo kwenye jumuiya hiyo ni Angola,Botswana,Comoros, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Eswatini, Lethoto, Madagascar, Malawi, Mauritius, Musumbiji, Namibia, Shelisheli, Afrika Kusini, Tanzania, Zambuia na Zimbabwe. Katika tamasha hilo la jamii ya waBantu lilinogeshwa na wasaniimbalimbali akiwemo msanii Mtr Tz mTanzania anaeishi DMV, msanii Shyman kutoka Zambia, Alyssa Mpofu na wanamitindo Ma Winny Casey mTanzania kutoka DMV Band kutoka Angola ijulikanayo kama Jovelino yenye makao makuu yake Boston, Massachusetts, kikundi cha ngoma na wanamuziki kutoka Congo Tudituri.Pamoja na wasanii hao pia vilikuwepo vibanda vya wajasiliamali.
Bango linalo onesha asili ya jamii ya Bantu ilikotokea nakuenea mpaka kusini mwa Afrika.
Mlimbwende akipeperusha bendera ya Tanzania.
Msanii mr. Tz akipagawisha jukwaani.
Ma Winny Casey akifanya mahojiano baada ya show yake ya kufa mtu.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.

Omega akizindua Tamasha.
Alyssa Mpofu akiimba wimbo wa Taifa la Marekani.
Inga Kim Rais wa Jumuiya ya Zambia DMV ambaye alikua mgeni rasmi akiongeamachache na kuelezea uzuri wa nchi za jumuiya ya kusini mwaAfrika.
Msanii Sekulu Orbet Muringani akielezea historia ya Bantu.
Msanii Sekulu Orbet Muringani akifungua jukwaa la burudani kwa ngoma.
Juu na chini watoto walioshinda zawadi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 Chini ni Fashion show na mbunifu Ma Winny casey

No comments: