Advertisements

Tuesday, April 13, 2021

WATANZANIA WASHINGTON, SEATTLE WAFANYA DUA KUMWOMBEA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

WaTanzania waliojumuika pamojakatika kusoma Dua Jimbo la Washington, Easttle.
WaTanzania jimbo la Washington, jijini Seattle walijumuika pamoja na kufanya Dua la kuombea Tanzania na kumwombea aliyekua Rais wa Tanzania
WaTanzania jimbo la Washington wakijumuika pamoja katika kusoma Dua kuiombea Tanzania na kumwombea aliyekua Rais wa Tanzania Hayati John Pombe Magufuli
Mmoja ya mTanzania Jimbo la Washington akitia saini kitabu cha wahudhuriaji,


 

No comments: