Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua kitabu cha Riwaya kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elizabeth Mramba (kushoto) katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, Julai 2, 2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, Julai 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala ya kitabu cha Riwaya kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elizabeth Mramba (kushoto) katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, Julai 2, 2022.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya Dawa za Kulevya Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment