tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post1341844137157345651..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: KUZINDULIWA KANISAVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-35728593938924052412016-08-24T15:44:43.791-04:002016-08-24T15:44:43.791-04:00Mch Mbata kwanza na kushukuru kwa kuchukua uamuzi ...Mch Mbata kwanza na kushukuru kwa kuchukua uamuzi wa kufungua kanisa la madhehebu ya kiluteri. mimi ni mluteri tangu kuzaliwa na kukuwa. dunia inatuchanganya sana na makanisa mengi yasiyojulikana madhehebu gani. ili mradi jina la mungu na la mwokozi wetu limetajwa hivyo ni kanisa.tunashindwa kujua linaanzaje na watoto wetu waende kimsingi gani. mimi nakuunga mkono sana sana na nitakuwepo na nitakuwa mkristo wa kanisa lako. nina hamu sana yakusikia vile vipengele vya nyumbani kama vile. keri eleiso na utukufu wa mungu juu mbinguni.... wewe ni qualified minister na umesoma na unajua unachofanya. mungu apewe sifaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-63924642054961480042016-08-23T10:46:57.437-04:002016-08-23T10:46:57.437-04:00ni habari njema. atukuzwe baba Mungu wa mbinguni....ni habari njema. atukuzwe baba Mungu wa mbinguni.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-91410227936538128472016-08-22T12:00:32.236-04:002016-08-22T12:00:32.236-04:00Hongereni sana kwa hatua hii. Tutashirikiana pamo...Hongereni sana kwa hatua hii. Tutashirikiana pamoja bega kwa bega.

Mungu awabariki sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-61750011282062642802016-08-19T08:18:09.989-04:002016-08-19T08:18:09.989-04:00Naweka hii waz sote tunamfahamu mungu na ndie hutu...Naweka hii waz sote tunamfahamu mungu na ndie hutusaidia, lakin pia watumishi wamungu vaaeni utumishi wenu na kumcha mungu nafahamu wachungaji wengi wameowa na wanafamilia zao so jaman vaaeni utumishi wenu mliopewa na mungu na si kuweka macho mbele, pesa ni haki kutowa kwani bila pesa hakuna mafanikio hapo ila jamani watumishi wengine mhhh jaman jina la bwana libalikiwe! Hongera mchungaji mbatta bwana akuongoze ktk yote tuko nyuma yako tunakuombea, Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-83962644266975893092016-08-18T10:48:30.863-04:002016-08-18T10:48:30.863-04:00hata Yesu alipigwa mawe sembuse sisi binadamu!
ho...hata Yesu alipigwa mawe sembuse sisi binadamu!

hongera sana baba mchungaji, hongereni sana kamati ya maandalizi, na karibuni wote tumsifu Mungu.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-89857487007104820132016-08-18T09:58:50.163-04:002016-08-18T09:58:50.163-04:00mdau wa August 15, 2016 at 3:05 PM...
"wengi...mdau wa August 15, 2016 at 3:05 PM...

"wengi hupenda sifa na kuweka pesa mbele"

PESA ZIPI?

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-66940635035134663392016-08-17T11:48:55.696-04:002016-08-17T11:48:55.696-04:00Mimi na my wife tunasubiri kwa hamu kubwa kanisa l...Mimi na my wife tunasubiri kwa hamu kubwa kanisa la kiinjili la Lutheran linazinduliwa. Hatukuwa na kanisa la kwenda, sasa kanisa langu litapatikana. Hongera mchungaji MBata. Niko pamoja nawe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-46295040051902635482016-08-17T10:01:09.132-04:002016-08-17T10:01:09.132-04:00Tuko pamoja.
Tuko pamoja.

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-68627217829792443202016-08-15T17:05:18.478-04:002016-08-15T17:05:18.478-04:00Mchungaji hongera sana kwa upatikanaji wa kanisa, ...Mchungaji hongera sana kwa upatikanaji wa kanisa, nasi tupo pamoja. Tupe nini cha kufanya na maandalizi ya ufunguzi wa kanisa letu. Tupo tulianza nawe na tutasimma na wewe pia, na mapepo yashindwa kwa jina la Yesu........Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-7954393852327635792016-08-15T15:05:51.542-04:002016-08-15T15:05:51.542-04:00Kabla ya yote napenda kuweka wazi kwamba wachungaj...Kabla ya yote napenda kuweka wazi kwamba wachungaji wengi musipojitambua katika nafasi ya wokovu tuliopewa na Mungu wengi watapata hasara ya nafsi zao, asilimia kubwa ya wachungaji hawajui wito wao kama huduma, wala hawajui wanayemtumikia kingine hawajui tofauti kati ya huduma kwa Mungu na maadili ya kipagani, wengi wao wamejaa viburi na hupokea utukufu kuliko Mungu, wengi hupenda sifa na kuweka pesa mbele. Nashauri hivi, mchungaji zindua kanisa halafu shirikiana na wachungaji wengine kuunganisha utumishi mujenge umoja. Naelewa kuna wenye imani ya Angilikani, Lutherani, Morovian, pentekote, nk. Ni wakati sasa wa kulitazama wazo la kuungana. Wapentekote najuwa wanaweza kuwa wagumu kidogo, nimewahi kuwa kwa imani hiyo, lakini bado mnaweza kufanya kanisa moja kubwa. Kiasi aliyetoa comment hapo juu akashangaa.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-40891157336472313472016-08-15T11:40:05.270-04:002016-08-15T11:40:05.270-04:00Mimi nadhani kuna kitu uroho wa kupata na tumeona ...Mimi nadhani kuna kitu uroho wa kupata na tumeona makanisa mengi yanaibuka sana bila kuendelea. Yanaponza sana familia nyingi. Inafika pahala itushinde. Ninapita.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-54173136520313487062016-08-15T10:48:20.053-04:002016-08-15T10:48:20.053-04:00kwako mdau wa August 13, 2016 at 8:29 AM
kuna mad...kwako mdau wa August 13, 2016 at 8:29 AM

kuna madhehebu tofauti, Lutheran, Episcopal(AKA Anglican), Roman Catholic, Assemblies of God, Non-denomination etc. yote haya yana miongozo tofauti, sasa unaposema liwe moja kwa hiyo madhehebu yote yawe na kanisa moja? ni sawa uwaambie wamarekani wote wawe na kanisa moja, au kwa waisilamu wa sunni waungane na shia waungane kisa wote ni waislamu. kwa mfano mimi ni m-katoliki, napenda nisali kanisa la katoliki na siyo la assemblies au non-denomination ingawa yote yanamwamini Mungu. Non-denomination laweza kuwa moja, lakini haya ambayo yako kwenye specific dhehebu hayaweza kuwa moja. kama kungekuwa na makanisa ya kiswahili ya Lutheran zaidi ya moja hapo unge-make sense.

Imani na dini/madhehebu ya watu waachie watu wenyeweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-17959323339909448502016-08-14T11:58:25.660-04:002016-08-14T11:58:25.660-04:00Hahaha Hahaha Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-35848395946697958532016-08-13T08:29:53.021-04:002016-08-13T08:29:53.021-04:00Hivi ninyi wachungaji mtagawanyika mara ngapi. Kwa...Hivi ninyi wachungaji mtagawanyika mara ngapi. Kwanini msiungane muwe kitu kimoja Watanzania tujue mahali pa kukimbilia?? Kama hampendani ninyi kwa ninyi mtatushauri vipi sisi tupendane??? Nimeuliza hivyo kwa sababu lilianza kanisa moja la Umoja church, leo kuna makanisa zaidi ya matano yanayotoa huduma kwa lugha ya kiswahili. Wachungaji DMV mnamatatizo gani???Anonymousnoreply@blogger.com