tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post167622499125283237..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: SHOGA GODFREY MAJUNGA ALIEZUA JAMBO CLOUDSVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-18538514187534031752016-07-01T09:50:16.037-04:002016-07-01T09:50:16.037-04:00Hili tatizo lipo na halitaondoka kwa sisi tu kunya...Hili tatizo lipo na halitaondoka kwa sisi tu kunyamaza, kufumba macho au kuziba masikioni yetu na kujifanya hatujui uwepo wake. Wazazi wengi walijaribu kukwepa kuzungumzia swala la ukimwi na watoto wao, lakini tatizo halikuondoka na liliendelea kuangamiza vijana bila simile. Ni bora tu likazungumzwa kwa uwazi na kutafutiwa njia ya kujinusuru nalo, kama ipo. Nguvu ya hili wimbi ni kubwa. Ni swala tu la muda, tutajikuta tunabwaga manyanga bila kuwa tumejiandaa psychologically!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-73471426360761490242016-07-01T09:15:01.933-04:002016-07-01T09:15:01.933-04:00Unaitaji maombi ya dini yako husika,inaonekana mam...Unaitaji maombi ya dini yako husika,inaonekana mambo ya dunia yamekukamata vibaya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-52828644263832775142016-06-30T18:55:35.327-04:002016-06-30T18:55:35.327-04:00Mila hubadilika, na kila mtu mwishowe huwa na maam...Mila hubadilika, na kila mtu mwishowe huwa na maamuzi yake binafsi ambayo lazima yaeshimiwe.Mtu akiamua kufanya ushoga hamna mtu mwenye haki yoyote ile kumzuia, sheria za nchi yetu na baadhi ya nchi nyingine za Kiafrika haziendani na uhalisia wa karne ya ishirini na moja. Kijana huyu ana haki yoyote kamaa raia wa nchi, acheni unafiki na ujinga wa kuingilia maamuzi binafsi ya mtu. Si kila mtu anaamini masuala ya dini na uwepo wa sheria kutoka kwa "mungu". Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-52172488181417051742016-06-30T18:46:19.615-04:002016-06-30T18:46:19.615-04:00Hivi kweli mmekosa vitu vya kutangaza jamani? Mbon...Hivi kweli mmekosa vitu vya kutangaza jamani? Mbona msiongelee Masikini vijijini, watoto yatima au walioadhirika, nk jinsi ya kuwasaidia. Hawa mashoga mnawapromote ni hatari kwa kizazi hiki mjue ni laana inashika hata vizazi vijazo. Wapo watakao ona ni safi sana kupitia ujinga huu..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-50880469890188291752016-06-30T10:27:04.921-04:002016-06-30T10:27:04.921-04:00Mungu tusamehe na utusaidie baba tufunike na wanet...Mungu tusamehe na utusaidie baba tufunike na wanetu,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-92200268350043520012016-06-30T07:32:31.651-04:002016-06-30T07:32:31.651-04:00clouds acheni kupromote hivi vitu ni agaist na mil...clouds acheni kupromote hivi vitu ni agaist na mila zetu, mnavyoonyesha au kuhoji mtu anaekwenda kinyume na sheria ya nchi, mnataka kutuambia nini? au ni kwasababu mko juu ya sheria? jirekebisheni na angalieni vitu vinavyoelimisha jamii na sio kupotosha jamii, thx Anonymousnoreply@blogger.com