tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post1890348469151874238..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: MUUGUZI HOSPITAL YA WILAYA YA CHUNYA MBEYA ATIWA MBALONI KWA KUDAIWA KUSABISHA KIFO CHA MTOTO MCHANGAVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-40020159043656735152016-10-22T00:53:28.204-04:002016-10-22T00:53:28.204-04:00Hivi waandishi wa habari mnatumia vizuri kalamu ze...Hivi waandishi wa habari mnatumia vizuri kalamu zenu? Maana ni kama unachochea jambo fulani utuaminishe wasomaji. Kila aya haikosi neno "ukatili" ukatili'ukatili".. Mnatazama na upande wa pili kabla hamjaandika? Pia ninyi mnajuwa madhara ya lugha za kichochezi? Kuweni na uweledi katika uandishi wenu msichomekee maneno ambayo hayakutamkwa na mnaowahoji au kuwashuhudia. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/12910300999847331101noreply@blogger.com