tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post1980276226049465899..comments2024-03-29T09:50:56.693-04:00Comments on VIJIMAMBO: WAZIRI NAPE AAHIDI MAKUBWA KATIKA MASHINDANO YA UREMBOVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-28585322368552603732016-11-14T22:57:02.480-05:002016-11-14T22:57:02.480-05:00Mheshimiwa waziri achana na biashara za urembo. Z...Mheshimiwa waziri achana na biashara za urembo. Zingatia mambo ya msingi yatakayosimamia na kuimarisha mila na desturi za mtanzania. Hizi biashara za mashindano ya urembo zinapotosha na kuharibu mila za kiafrika. Warembo wengi wanakuwa wametumia dawa za kubadilisha ngozi kuwa nyeupe, na wengi wameunganisha nywele na extensions. Hizi nywele za extension nyingi zinaagizwa India. Kule India watu wanafuga nywele zikifika urefu fulani wanazikata na kuuza kwa ajili ya warembo wa Africa. It is a billion doller industry. Mheshimiwa wazziri, tafuta jinsi ya kuelimisha uma watanzania tuheshimu asili yetu na uzuri wetu wa asili. Anonymousnoreply@blogger.com