tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post2103676668747632088..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: KAMPUNI YA TANCOAL YATEKELEZA AGIZO LA SERIKALIVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-42879461388098279622017-05-12T22:02:19.569-04:002017-05-12T22:02:19.569-04:00Serikali lazima itazame suala la viwanda kwenye hi...Serikali lazima itazame suala la viwanda kwenye hii mikoa ya kusini ambayo inayo malighafi muhimu. Mikoa ya Ruvuma yenye Coal na Uraniumm, Njombe yenye Iron Ore, na Lindi/Mtwara yenye Natural Gas nyingi, lazima zipatiwe viwanda ili wananchi wa mikoa hiyo nao wanufaike. Upendeleo wa kujenga viwanda na miundo mbinu mingi kwenye mikoa michache ya kanda ya ziwa na kaskazini at the expense ya mikoa ya kusini ni vyema upewe jicho jipya, maana kitafika kipindi wananchi wataanza kulalamika na kukosa subira.Anonymousnoreply@blogger.com