tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post2150142258160819603..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: STARTIMES YACHANGIA MADAWATI MKOANI MTWARAVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-50054384921856820422016-08-07T20:31:16.367-04:002016-08-07T20:31:16.367-04:00Pamoja na kazi nzuri ya utengenezaji wa madawati. ...Pamoja na kazi nzuri ya utengenezaji wa madawati. Ni wakati pia wa kubuni mbinu mpya na muundo tofauti wa madawati haya. Pamoja na kuzoea kutengeneza madawati ya kukalia wanafunzi 3-4. Hebu tujeni na muundo tofauti wa dawati la square litakalokaliwa na wanafunzi wawili side by side. Ikifuatiwa na kuwa na wanafunzi wachache kwenye darasa moja ambalo pia mwalimu anawamudu kupitia kazi zao. <br />Kazi kubwa ya upanuzi wa majengo uendelee pia. Haya madawati huko kwenye shule za vijijini bado ni kitendawili!! Napita..Anonymousnoreply@blogger.com