tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post2673943757776715014..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: Habari za kifo cha Mwanamziki Mangwea toka Hospital South Africa.VIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-78399368155128149962013-05-29T07:49:47.139-04:002013-05-29T07:49:47.139-04:00Jamani hawa wasanii wabongo wanachosha..mungu kawa...Jamani hawa wasanii wabongo wanachosha..mungu kawajaalia vipaji..wanavitumia vibaya..rizki mungu akiwajaalia wanaishia katika madawa kulevya...wakiugua au wakifariki wananchi tuchangie..hii kweli sawa? Sasa hapo utaona hata viongizi wa serikali wataenda kutoa michango ili kuuza sura kwa mtumia madawa ya kulevya wakati kumejaa watoto wa mitaani.Anonymousnoreply@blogger.com