tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post3199178871991644671..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: MREMA AMTAKA LOWASSA AKUBALI KWAMBA ALISHINDWA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA JANAVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-34919835391624249992016-08-02T23:20:51.083-04:002016-08-02T23:20:51.083-04:00Hakika kabisa hakuna kitu kilichompeleka Lowasa up...Hakika kabisa hakuna kitu kilichompeleka Lowasa upizani kama si uroho wa madaraka. Kwa maana yakwamba kama Lowasa angepitishwa kugombea uraisi kwa ticket ya CCM asingetoka. Na mbaya zaidi amekwenda kuhamia chama ambacho kina harufu ya ukanda kwa mtazamo wowote ule. Siasa za kiafrika kwa kiasi kikubwa ni balaa tu bado tuna safari ndefu.Anonymousnoreply@blogger.com