tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post3869163398930938331..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) na Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama hicho Mkoa wa Mbeya wametoa matamko VIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-31021040968133776382013-05-17T13:00:02.212-04:002013-05-17T13:00:02.212-04:00Huu ndio sauti ya uhuru, si lazima kila anachofany...Huu ndio sauti ya uhuru, si lazima kila anachofanya rais au mkewe ni sahihi. Hata Dr. Slaa mwenyewe angekuwa rais bado tungemsema hata kama angefanya vizuri kiasi gani, ndiyo maana kuna tofauti ya mawazo. Msichukulie kama offensive, maana ukiwa rais wa nchi usitegemee utasifiwa tu, hiyo ni changamoto na ipo popote pale duniani kwenye demokrasia. Kusema rais au mkewe anaharibu nchi siyo kosa kisheria and should not prompt the other side of the aisle to make as a big deal. Angekuwa ametukanwa matusi hapo tungesema wahusika wanatakiwa wajieleze na ingewezekana kuwashitaki. Hiyo ndiyo adha ya kuwa rais, siyo kupigiwa makofi tu.Anonymousnoreply@blogger.com