tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post393670862879602311..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: BONGO MOVIE WAMTENGA WEMA MSIBA WA BABA YAKE.VIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-26270077860550301502013-11-02T15:38:25.469-04:002013-11-02T15:38:25.469-04:00Pole sana Wema . Kwani hao waliojitenga wamekupung...Pole sana Wema . Kwani hao waliojitenga wamekupunguzia nini, Watu wengine bwana . Songa mbele na maisha yako waswahili ndivyo walivyo hawakosi sababuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-57748283953183206762013-11-01T11:02:18.144-04:002013-11-01T11:02:18.144-04:00Polee sana wema Polee sana wema Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08199281861586472631noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-6053477369505349712013-11-01T11:00:45.908-04:002013-11-01T11:00:45.908-04:00Poleeeeee..sana Poleeeeee..sana Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08199281861586472631noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-5049357666303579812013-10-30T13:34:39.824-04:002013-10-30T13:34:39.824-04:00Nyinyi mnaemuonea huruma wema na kuwasema wasanii ...Nyinyi mnaemuonea huruma wema na kuwasema wasanii wenzie wamefanya vibaya kutokwenda kwenye msiba kwani hamsomi sababu ni nini? ni yeye ambae ameanza kutoshiriki misiba ya wasanii wenzake kwa kujiona yeye ni star sana eti Raisi ameenda Raisi hakwenda kwa sababu ya wema au mama yake wema Raisi ameenda ni kwa sababu alofariki alikua alishawahi kuwa mfanyakazi wa serikari kwenye nyazifa za juu si kwa sababu ya wema kalaleni kule dawa ya moto si maji ni moto tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-16787425345143734822013-10-29T20:35:24.416-04:002013-10-29T20:35:24.416-04:00kwahiyo nyie wasanii ndio mmefaidika nn kwa kutoen...kwahiyo nyie wasanii ndio mmefaidika nn kwa kutoenda kwenye msiba wa msanii mwenzenu? hata kama kafanya kosa, ss hapo mtaishi na maguilty yenu na kuanza kumkimbia na mnaosema eti mmeambiwa na mtu mmina mwenye ushawishi mkubwa hamnazo kweli, na wema uachae kucheza mamovie yao, wanakuonea wivu tuu hawana lolote.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-34778234801324132122013-10-29T20:22:28.999-04:002013-10-29T20:22:28.999-04:00Pole sana wema,Mungu pekee ndio anaweza kukupa far...Pole sana wema,Mungu pekee ndio anaweza kukupa faraja ya milele hata hao wasanii wasipokuja haikupunguzii kitu, pia na nyie wasanii akili zenu mbovu sana wenzenu 1wakipizana kwenye harusi nyie hadi msibani lol! aibu kwenu, na pia naona mnamuonea wivu wema wetuu mnafikiri ndio mtamchafuliaaa??? she still rock. love yah wema sepetuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-69935033693058761502013-10-29T17:54:42.993-04:002013-10-29T17:54:42.993-04:00Mmmh! Kutokuhudhuria mazishi ya wasaniii wenzaake ...Mmmh! Kutokuhudhuria mazishi ya wasaniii wenzaake in kibaya sana maana kuna Leo na kesho ila sioni Kama ku tena Ni solution jamani!!!! Khaaa! Mngemuita chemba na kumweleza tu kuwa tabia yake Ni mbaya na aiache Mara moja! Wema usijali haya yoote Ni maisha tu! Na Rais wa nchi alikuwepo na mke wake kuku support kwa hiyo shukuru hilo wangapi wanamuonaga Rais wa nchi katika msiba??? Ila hata Diamond wako kakutenga pia jamaniii? Wanaume bwana hawaaaminiki kabisa! Yeye alitakiwa kuku support kwenye raha na Shida! Hovyooooooo! Pole sana Wema maisha Ni kujifunza bidada.Anonymousnoreply@blogger.com