tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post5321300093952732491..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NCHI MH:MWIGULU NCHEMBA ATUA MGODI WA NYAMHUNA UNAODAIWA KUTESA NA KUUA MTANZANIA MMOJA,AWAKAMATA WAHUSIKA(WACHINA NA WATANZANIA) WANAOSADIKIKA KUHUSIKA.VIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-52191533593774012842016-07-29T11:45:19.970-04:002016-07-29T11:45:19.970-04:00Nakusuhuru waziri kwa kuingila kati na kutofuata u...Nakusuhuru waziri kwa kuingila kati na kutofuata ukiritimba wa sheria kwa kumtoa na kuwakamata hawa watu haramu ambao pesa za migodi yetu ndio inayowafanya wawe na kiburi na kutesa raia wetu bila sababu.Nakuomba kwa kuwa umeshapata ushaidi kamili huyu mchina kibali chake kufutwe mara moja na yeye na wenzake wote waondolewe nchini mara moja iwe fundisho kwa raia yoyote wa nje akija nchini ahaeshimu sheria na watanzania kwa ujumla.Pia naomba uwaulize hao polisi kwa nini walimshikilia huyu kijana bila ya kutaka kufanya uchambuzi na kujua nanai mwenye makosa?Au nao wanashirikiana na haya wachina kunyanyasa raia? ukibaini hivyo fukuza hao polisi mara moja washike adabu.Nakuomba sana waziri toa onyo kwa raia wengine wa kigeni kwa kuwafukuza na kuwanyima kibali hawa wachin na pi wamlipe fidia huyu kijana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-13141924578580996062016-07-28T07:48:08.190-04:002016-07-28T07:48:08.190-04:00hivi lini tutabadilika, mkuu wa mkoa yupo, mkuu wa...hivi lini tutabadilika, mkuu wa mkoa yupo, mkuu wa wilaya yupo, wakuu wa polisi wa mkoa na wilaya wapo!!!! lakini mpaka mheshimiwa waziri aende ndio kazi ifanyike, mfyuuuu zao, fukuza wote kazi wanafanya kazi kwa mazoea hao!!!!Anonymousnoreply@blogger.com