tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post5593340636361952792..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: Bongo Flava ni sawa na mtoto anayelelewa na mama peke yakeVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-36560470331665417282016-08-08T21:21:01.925-04:002016-08-08T21:21:01.925-04:00Mwandishi hana uelewa sahihi wa majukumu ya BASATA...Mwandishi hana uelewa sahihi wa majukumu ya BASATA! BASATA ni regulator wa Sanaa. Sio sahihi kuifananisha BASATA na baba wa (au chombo cha kukuza) Sanaa. Sana sana majukumu ya BASATA yanaweza kufananishwa na majukumu ya referee, ambayo ni kuhakikisha kwamba kanuni za mchezo zinafuatwa; sio kutoa malezi kwa wanamichezo!Anonymousnoreply@blogger.com