tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post5668942842789800867..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: MAKONDA AWATOLEA UVIVU WANAOMBEZAVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-18335085463650478662016-07-19T02:35:40.924-04:002016-07-19T02:35:40.924-04:00Sasa ni dhahiri kuwa mkuu wa nchi kamvika Makonda ...Sasa ni dhahiri kuwa mkuu wa nchi kamvika Makonda viatu ambavyo si size yake.Hata hivyo, still kuna room ya Makonda ku- salvage nafasi yake before it gets too late.Anapaswa kuacha kutoa matamko ya kukurupuka,anapaswa kufanya deep consultation kabla ya kurukia issues.vilevile aache kuongoza kuongoza mkoa kibongo fleva kwa kila jambo anataka lionekane kwenye media.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-20334910662086107022016-07-18T12:57:08.058-04:002016-07-18T12:57:08.058-04:00Asante mkuu ila ujue hii kazi ni nzito sana na ili...Asante mkuu ila ujue hii kazi ni nzito sana na ilishaagizwa na mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema wakati huo naibu waziri na waziri pia kuanzishwa kwa Sungusungu!. La ajabu hebu tafakari kwaza utitiri wa wanajamii wanaofurika mjini kote siku nzima je wanalala wapi? utakuta chumba kimoja kina watu zaidi ya 5! na hii yote pia wanasaidiana kulipa kodi tokana na uwezo na kazi walizonazo! <br />Kuna utaratibu pia unaofaa kama alivyodokeza Meya wa Jiji, hivyo la msingi ni kukaa pamoja na kulitafutia ufumbuzi kwani kwenda kwenye vyombo vya habari na kupaaza saUTI bado hakujatatua tatizo! Uongozi wa serikali za mtaa umelega sana tukitizama maeneo mengi hata eneo la barabara ni mbovu linapitika kwashida, bomba la maji limepasuka maji yanatawanyika hovyo, lakini la ajabu hawawezi kuwaunganisha wananchi wa eneo husika walau siku za Jumamosi kurekebisha maeneo yao.<br />Wewe kama mkuu wa Mkoa jiji kuu DAR, je ulishapita (na kama bado naomba upite)barabara ya kutoka Sinza kijiweni kuja Magomeni kupitia kwa Mtogore, kweli hii barabara inatia aibu na maji machafu pembezoni isitoshe biashara nyingi magari mabovu yamejaa kila eneo pembezoni mwa barabara na huu ndio Mkoa wako mkuu! Isitoshe ulikuwa Mkuu wa Wilaya hiyo ya Kinondoni! Haya ndio mambo ya kuangalia sana pia kwa afya za watu, Kwa ushauri tu ni vyema ukaomba serikali ikatoa eneo kama kule Chalinze ndani likatengwa kwa ajili ya magari mabovu yaliyojaa mitaani na liwe maalumu kwa kila mwenye gari bovu alipeleke huko mwenyewe na kupewa namba maalum hivyo akitaka kupata spea aende kuchukua huko kuendana na namba na plot gari bovu lake liliko. ushauri tu. <br />kuna mambo mengi ya kulifanyia jiji letu na sio kuonekana kwenye vyombo vya habari tu!! Tufanyeni kazi kwa ushirika sio kudharauliana. Mwisho.Anonymousnoreply@blogger.com