tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post6107878142129869770..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKUTANA WADAU KUJADILI DHAMIRA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU UTUMIAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI.VIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-80777491678210479442016-08-19T14:36:15.204-04:002016-08-19T14:36:15.204-04:00Kwanza tatizo la uchafu wa mazingira Tanzania huch...Kwanza tatizo la uchafu wa mazingira Tanzania huchangiwa na vitu vingi na sio plasstic bags pekee.Vilevile ni vema Serilali ikajifunza kutoka katika nchi nyingi duniani zilizo chukua uamuzi wa ku-ban matumizi ya plastic bags then wakagundua haukuwa uamuzi sahihi na baadhi yao wakachukua maamuzi ya either kuweka kodi ya matumizi ya plastic bags au ku-incourage recycling programs .Serikali inatakiwa kuangalia tatizo la uchafuzi wa mazingira kama opportunity ya kumobolize investors kuwekeza katika miradi kama ya plastic,tire,paper recycling projects as well as biomass processing.ili kutoa ajira na serikali kuweza kupata kipato kupitia kodi.<br />total ban ya plastic bags haina tija kwa Tanzania ya leo.Anonymousnoreply@blogger.com