tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post7206855563364392442..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: ZIMWI LA TEGETA ESCROW LAMTISHA PROFESA TIBAIJUKA, AKATAA KUPOKEA DOLA 300,000 BAADA YA KUPEWA TUZO YA KIMATAIFAVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-73059186021832852152016-09-30T08:13:52.010-04:002016-09-30T08:13:52.010-04:00Huu uwongo wa wazi kabisa. Yeyote anayemfahamu Tib...Huu uwongo wa wazi kabisa. Yeyote anayemfahamu Tibaijuka anajua asingeweza kuzikataa pesa hizo. Badala yake angezichukua na kujigamba kwamba; mnaona? Dola laki moja ya Ecrow nini? Hapa nimepewa laki tatu zaidi. watu bado wananiothamini na pesa bado inakuja tu.

Unless ni mjinga kwamba kweli kapewa vijisenti hivyo na kabana tena kama alivyobana za escrow! Ni kweli watu wafuatilie zaidi. Kuna kitu kinafichwa hapa.
Ukweli ni vyema ufahamike ili mradi ameyaanzisha yeye mwenyewe kama bw Trump!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-29528352642964594432016-09-30T07:46:27.597-04:002016-09-30T07:46:27.597-04:00Annon namba 1 umesema. Watu wafustilie ukweli wa m...Annon namba 1 umesema. Watu wafustilie ukweli wa madai haya. Hivi pesa ilikuwa ya UN? Mbona magazeti yanasema Mfalme wa Bahrain? Si kitu zilipotoka bali tufuatilie ukweli UN ama Ubalozi wa Bahrain. Tusidanganyane. UN wamesimamisha miradi mingi wakati huo huo wanazo laki tatu za kumpatia Tibaijuka? Mmmmh!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-62311150552417601182016-09-29T16:38:21.334-04:002016-09-29T16:38:21.334-04:00Tapeli, tapeli tu. Hata akioshwa na UNTapeli, tapeli tu. Hata akioshwa na UNAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-45356988440668757272016-09-29T14:15:36.218-04:002016-09-29T14:15:36.218-04:00hebu professa asituzuge hapa. haingii akilini kuzi...hebu professa asituzuge hapa. haingii akilini kuzikataa $300,000 (laki tatu)eti kwa vile alishirikishwa mambo ya Escro. hiyo ingekuwa kweli basi siunawaambia wanaotaka kukupa fedha kwamba zitoeni zipitie akaunti ya wazi kabisa, ama ya shule yake, ama ya maafa ya kagera ama ya serikali.

shida ya escro ilikuwa ziliingian akaunti za watu binafsi ambao walificha kupokea kamshiko mpaka walipo fichuliwa. hapo ndipo palikuwa shida. hata kodi hawakulipa ama kufahamisha hata bodi ya shule yake mpaka aliponaswa.

asitudanganye huyu mama. hepu walioko huko UN wafuatilie kweli alipewa fedha hizo akazikataa. hili rahisi kupata ukweli wake.Anonymousnoreply@blogger.com