tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post737448041298368755..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: PROFESA SEMBOJA ADAI UKUBWA WA DENI LA TAIFA HAUWEZI KUYUMBISHA UCHUMIVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-77451058130074119842016-09-10T22:01:45.397-04:002016-09-10T22:01:45.397-04:00Ukubwa wa deni la taifa siyo mzigo mbaya?? Huyu nd...Ukubwa wa deni la taifa siyo mzigo mbaya?? Huyu ndiyo aina wa maprofesa waliosoma kwenye nchi za kijamaa ambazo propaganda ndiyo maisha ya kila siku. Hivi kweli ukubwa wa deni la taifa ambalo limetumika kwa kununulia maandazi ya chai cha maofisini, safari za nje na mengineyo siyo mzigo mbaya?? Amesema tunafaidi ndege....Je wananchi wa kawaida wanafaidikaje na hizo ndege mbili? Je ndege siyo usafiri wa kawaida ambao wananchi kama wana uwezo wanalipia kwa pesa zao? Kabla hata hizo ndege za ATC za propaganda mbona zilikuwepo za Precision na Fast jet ingawa usafiri wa ndege haujawa mkubwa nchini? Profesa wananchi hatufaidi usafiri wa ndege, kwa wenye uwezo wanaulipia kwa pesa za jasho lao na wenye ndege wanafanya biashara kama biashara zingine, Acha porojo za kisiasa!!!!Anonymousnoreply@blogger.com