tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post8411498874278173207..comments2024-02-26T05:08:35.775-05:00Comments on VIJIMAMBO: KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO BUGURUNI SHELI AELEZA YALIYOMSIBU SIKU HIYOVIJIMAMBOhttp://www.blogger.com/profile/09023266887599892472noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-66551827234198515672016-10-04T02:27:42.845-04:002016-10-04T02:27:42.845-04:00Inasikitisha sana ...nimejaribu kuangalia hii vide...Inasikitisha sana ...nimejaribu kuangalia hii video nimeshindwa kabisa ila nimesoma maelezo tu ...kweli dunia imefika mwisho wake...je huyu aliyefanya haya alikamatwa?....nawaomba watanzania tuungane tumsaidie huyu kijana ili aweze kupata kuona tena...naamini mishipa yake bado ni mizima na anaweza kufanyiwa eyes transplant lakini ni kwa pesa nyingi ....tuko wengi sana hata kama ni shilingi elf 20 kwa mwenye uwezo ataweza kupata kuona tena ..inshaAllah.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-4695711586607716122016-10-03T13:42:31.443-04:002016-10-03T13:42:31.443-04:00Hii story imenisikitisha sana, watanzania Wamekua ...Hii story imenisikitisha sana, watanzania Wamekua wanyama pori Mungu tusaidieAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6324088563257897474.post-25318171621221305332016-10-03T12:19:13.367-04:002016-10-03T12:19:13.367-04:00Eeee mwenyez mungu umuhulumie mja wako mpe kuona t...Eeee mwenyez mungu umuhulumie mja wako mpe kuona tena.Anonymousnoreply@blogger.com