HABARI ZA NYUMBANI TANZANIA KUPITIA SIMU TV BOFYA HAPA
Friday, November 14, 2025
Saturday, October 19, 2019
MOBILIZE4HEALTH AFYA FORUM NOVEMBER 9, WASHINGTON DC, USA

We are pleased to share with you the preliminary agenda. We invite you to explore the agenda and also share your thoughts. Our team is working hard to assemble an exceptional group of speakers to allow for a meaningful exchange of information to propel us forward. Do you have experiences to share as part of your health venture(s)? Contact us at dicota@dicotausa.org.
8:00 am Registration and Breakfast
9:00 am Opening Keynote Address
10:00 am Navigating Tanzania Health Governance
and Regulatory System
11:00 am Human Resources for Health
12:00 pm Lunch Keynote Address
2:00 pm Diaspora Health Initiatives in Tanzania
3:00 pm Leveraging Diaspora-owned American -based
Ventures in Tanzania
4:00 pm Business and Investing in Health in Tanzania
5:00 pm Closing Keynote Address
EARLY BIRD REGISTRATION
**Register by Oct 15, 2019
and Save $25.
**Active DICOTA members
get 25% off.
REGISTER NOW
NEW PASSPORT APPLICATION OR RENEWAL FOR ALL GUESTS REGISTERED AND ATTENDING DICOTA HEALTH FORUM.
All guests, who have completed online application, made all required payments and have sent their names to dicota@dicotausa.org by October 25, 2019 will get their picture and fingerprints taken at Tanzania Embassy in Washington DC on Friday, November 8th, 2019.
PLEASE FOLLOW INSTRUCTIONS BELOW:
All guests who have registered for DICOTA Health Forum and in need of new / renew their Passports are required to FIRST complete the online application process (here) and make all required payments online as outlined here by October 25, 2019.
Please send your full name and contact information to dicota@dicotausa.org (Subject: PASSPORT) after completing the online process no later than October 25, 2019.
Please contact the Passport department at the Tanzania Embassy in Washington DC (202) 939-6125 for all questions concerning the online application process.

After a full-day of exchanging, learning, and connecting, we invite you to get on our dancing shoes and head to the Serengeti Restaurant and Lounge. Prepare to let loose with music and enjoy the tantalizing Swahili dishes.
TIME: 9:00 pm to 3:00 am
MUSIC: By the Mix Master, DJ Luke
COVER CHARGE: $10 per person
LOCATION: Serengeti Restaurant & Lounge
6210 Georgia Ave, NW, Washington, DC
SPONSORSHIP OPPORTUNITIES
DICOTA welcomes you to join us as a sponsor for the Mobilze4Health Forum. As a sponsor, your organization will gain valuable exposure to a targeted audience and you will be helping to ensure the success of this forum. We have four levels to choose from, including KLUTE, MERU, MAWENZI, and KILIMANJARO. Not sure which level is right for you?
E-mail us at dicota@dicotausa.org. Let's discuss your goals. Together we'll build the appropriate sponsor package so you can effectively benefit from engaging in the forum.
KIASI CHA SHILINGI BILIONI 3.417 ZINAHITAJIKA KUBORESHA CHUO CHA UHAZILI
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa maneno ya utangulizi wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa, Balozi wa Sweden Nchini Anders Sjober walipotembelea Chuo cha Utumishi wa Umma.
alozi wa Sweden nchini Anders Sjober akiwahutubia watumishi na wanachuo wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tabora wakati wa ziara ya siku moja jana chuoni hapo.Picha na Tiganya Vincent
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey , Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa, Balozi wa Sweden Nchini Anders Sjober na viongozi mbalimbali na wanachuo wa Uhazili wakicheza wimbo maalumu wakati wa ziara yao ya siku moja ya kukagua Chuo cha Utumishi wa Umma.
Muuguzi Asimamishwa Kazi Akituhumiwa Kubaka Hospitalini

Damian Mgaya (41) aliyetoroka anadaiwa kumfanyia hivyo msichana huyo aliyekuwa akimuuguza mama yake katika hospitali ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Inaelezwa kuwa mara baada ya kumaliza kumbaka binti huyo aliamua kumtupa eneo la kufulia nguo kwenye nyasi akiwa hajitambui na kummwagia maji mwili mzima.
Inaelezwa kuwa mnamo mwaka 2017, Damiani akiwa katika kituo cha Afya cha Igurubi, aliwahi kufanya tukio kama hilo, ambapo alipelekwa polisi na kisha mahakamani na aliachiwa huru na kurejeshwa kazini mwaka 2018.
Friday, October 18, 2019
*TAARIFA YA KISOMO CHA HITMA DMV
Tujumuike na familia ya Balozi mstaafu Mustafa Nyang'anyi na Mama Mariam Nyang'anyi katika kisomo cha hitma cha mtoto wao Hussein Nyang’anyi kitakachafanyika:
SIKU Jumamosi OKTOBA 19, 2019
MAHALI:
Ross Boddy Neighborhood Recreation Center,
18529 Brooke Rd,
Sandy Spring, MD 20860
MUDA Saa 12 jioni(6:00pm) hadi saa nne usiku(10:00pm)
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.
Tafadhali tuzingatie muda
Inna Lillah wainna ilayhi raajiun - [Hakika sisi ni waja wa Mola na Kwake ni marejeo yetu]
SIKU Jumamosi OKTOBA 19, 2019
MAHALI:
Ross Boddy Neighborhood Recreation Center,
18529 Brooke Rd,
Sandy Spring, MD 20860
MUDA Saa 12 jioni(6:00pm) hadi saa nne usiku(10:00pm)
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.
Tafadhali tuzingatie muda
Inna Lillah wainna ilayhi raajiun - [Hakika sisi ni waja wa Mola na Kwake ni marejeo yetu]
BENKI YA DUNIA KUIJAZA ZANZIBAR DOLA ZA MAREKANI MILIONI 150 KUKUZA UTALII NA USTAWISHAJI MIJI ZANZIBAR.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Kundi la Afrika(Katikati) Bi. Anne Namara Kabagambe akiongea na ujumbe wa Tanzania uliohudhuria mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia -WB na Shirika la Fedha la Kimataifa – IMF inayofanyika Jijini Washington DC nchini Marekani
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Khamis Omar akifafanua jambo kwa Mawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania Bara na Tanzania Visiwani Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Mhe. Mohamed Abdiwawa wakati wa Mkutano na Viongozi wa Benki ya Dunia Jijini Washington DC.
NAIBU WAZIRI MABULA AAGIZA WAKALA HUDUMA ZA MISITU KUPIMA SHAMBA LA MITI LA RUBYA UKEREWE
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akizungumza na viongozi wa wilaya ya Ukerewe pamoja na Watumishi wa Shamba la Miti la Rubya katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza alipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akielekea kukagua moja ya nyumba za watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika shamba la Misitu la Rubya lililoko Ukerewe wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana. Wa pili kulia ni Meneja wa NHC Mwanza Fadhili Ntahana na kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Ukerewe Focus Majambi
THIBATI YA MAABARA YA GST

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inapenda kuwajulisha wadau wake na Umma kwa ujumla kuwa maabara ya GST imepata ITHIBATI (ACCREDITATION) kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulika na utoaji wa Ithibati katika Maabara zilizopo katika Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi zilizopo Kusini mwa Afrika (SADCAS). Ithibati hii imetolewa kwenye eneo la uchunguzi wa kemia katika sampuli za madini. (Scope: Chemical analysis to ISO/IEC 17025:2017-Minerals) na kupewa namba ya usajili ya kipekee TEST-5 0043.
Maabara ya GST imekuwa ya kwanza ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa kupata Ithibati ya toleo jipya la Mwaka 2017 ambalo linatakiwa kufuatwa na maabara zote za uchunguzi (Testing laboratories). Aidha, upatikanaji wake ulitokana na tathimini iliyofanywa na wakaguzi kutoka SADCAS na kuidhinishwa na kikao cha Kamati Maalum ya Ithibati kilichofanyika tarehe 15 Octoba, 2019 jijini Gaborone, Botswana baada ya kukidhi vigezo vyote vya kitaalamu vinavyozingatiwa na shirika hilo la kimataifa.
Kupatikana kwa Ithibati hii ni sehemu ya mikakati ya Wizara ya Madini kupitia GST ya kuendelea kuboresha huduma za uchunguzi wa sampuli za miamba na madini. Maboresho haya yanalenga kuendelea kutoa majibu sahihi na ya uhakika kupitia wataalam wenye uzoefu mkubwa na mashine zenye viwango vya kimataifa.
Majibu ya uchunguzi wa maabara kutoka GST yanatambulika kimataifa, hivyo GST inawakaribisha wachimbaji wadogo, wa kati na wakubwa kuendelea kufanya uchunguzi wa sampuli za miamba na madini kupitia Maabara ya GST kwa ajili ya kuongeza tija kwa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.
Imetolewa tarehe 17 Oktoba, 2019 na:
KAIMU MTANDEJI MKUU
KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI YAPOKEA TAARIFA YA HALI YA KIFUA KIKUU NCHINI
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi akiwasilisha Taarifa ya majukumu ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma kwa mwaka 2018/2019 kwenye Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Jijini Dodoma hii leo.
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi wakifuatilia Taarifa ya majukumu ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma kwa mwaka 2018/2019 iliyowasilishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi Jijini Dodoma hi leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mheshimiwa Oscar Mukasa akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
SHIRIKA LA INADES FORMATION TANZANIA LIMEITAKA JAMII KUTAMBUA HAKI NA SHERIA ZA MNYAMA PUNDA
Mnyama aina ya Punda ambaye anapiganiwa kupata haki na sheria zake na Shirika la Inades Formation Tanzania (IFTz)
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Shirika la Inades Formation Tanzania (IFTz)
limeitaka jamii kutambua haki na sheria za mnyama punda pamoja na kutambua
mchango wa punda katika maisha ya jamii.
Akizungumza na vyombo vya habari mratibu wa kuboresha maisha kupitia ustawi wa
mnyama kazi punda Fadhili Nyingi ambapo amesema kuwa lengo la mradi huo ni
kuboresha maisha ya watu waishio vijijini kupitia mnyama punda pamoja na kurasimisha sekta ya punda katika halmashauri
ya wilaya ya iringa.
KUAPISHWA RASMI KWA MFALME MPYA WA JAPAN
WAZIRI MKUU AELEZA JINSI YA KUFIKIA NCHI YA KIPATO CHA KATI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo ya ushindi wa jumla, Satbir Singh Hanspaul ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya HANSPAUL wakati alipomwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika utoaji wa tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2018 kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Oktoba 17, 2019. Watatu kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa na Kushoto ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), Subhash Patel
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angela Kairuki wakati alipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika utoaji wa tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2018, Oktoba 17, 2019. Katikati ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania(CTI), Subhash Patel wakati alipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika utoaji wa tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2018, Oktoba 17, 2019. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji), Angela Kairuki.
TANGAZO LA MSIBA
Mama Elizabeth Majogo enzi ya uhai wake
Tunoamba tusaidiane kama waTanzania na hatimae kuwezesha kumsafirisha mpendwa wetu nyumbani na waTanzania tunapoamua hatushindwi na jambao, ni msiba mkubwa kwa familia tunaomba msaada wako wa hali na mali katika kufanikisha safari ya mwisho ya mpendwa wetu.
Marehemu ameacha mume Mr. Edgar Maokola Majogo, watoto Gemina, Diones, Emmy (ambaye ndiye pekee yupo US), Lavinia, Venance na . Wajukuu, Laura, Sandra, Shania, Khalid , Emiliza, Eddie, Geminaila, Jolene , Binah na Leia.
Tutazidi kuwataarifu kila mipango inavyokwenda, kwa niaba ya familia tunaomba support yako kadri utakavyoweza kusaidia na hatimae kuwezesha kumsafirisha mpendwa wetu nyumbani Tanzania.
Mume wa marehemu Mr Majogo yupo hapa alikuja kumuuguza mkewe.
Tuliopo Chicago na vitongoji vyake ukipata muda tufike nyumbani kwa dada Emmy Anuani ni 10849 Kingston street , Westchester,Illinois kuwashika mkono na kuwafariji katika msiba huu wa mpendwa mama yao.
Kwa mchango wako tafadhali tuma kwa njia hizi hapa chini:
Zelle: Emmy Majogo-Farhi emmymajogo@yahoo.com
CashApp: 312 479 0858
gofundme BOFYA HAPA
Tunatanguliza shukurani
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
TAARIFA YA MSIBA NORTH CAROLINA NA TANZANIA
Evelyn Yona Nkurlu, 72, of Goldsboro passed away suddenly Monday, October 14, 2019 at her home.
Funeral services will be held Saturday, October 19, 2019 at 5 p.m. at Goldsboro Worship Center in Goldsboro where she was a member. The family will receive friends Saturday from 4 until 4:45 p.m. at the church. Burial will be held in Tanzania.
Ms. Nkurlu was born in Tanzania on March 23, 1947 to the late Yona Nkurlu and Wanzigia Nonigwa Nkurlu.
She is survived by one daughter, Lilian K. Danieli and husband, Dr. Sembua Danieli of Pikeville; two granddaughters, Imani Danieli and Serena Danieli; one grandson, Akili Danieli; her sisters, Matilda Sauli and Sophia Yona; her brothers, Calvert Nkurlu, Julius Nkurlu, Francis Nkurlu, Modest Nkurlu and Fadhili Nkurlu.
In addition to her parents, Ms. Nkurlu was preceded in death by her brothers, Geoffrey and Ephraim Nkurlu and sister Miriam Nkurlu.
The family is in the care of Howell Funeral Home & Crematory in Goldsboro.
Funeral services will be held Saturday, October 19, 2019 at 5 p.m. at Goldsboro Worship Center in Goldsboro where she was a member. The family will receive friends Saturday from 4 until 4:45 p.m. at the church. Burial will be held in Tanzania.
Ms. Nkurlu was born in Tanzania on March 23, 1947 to the late Yona Nkurlu and Wanzigia Nonigwa Nkurlu.
She is survived by one daughter, Lilian K. Danieli and husband, Dr. Sembua Danieli of Pikeville; two granddaughters, Imani Danieli and Serena Danieli; one grandson, Akili Danieli; her sisters, Matilda Sauli and Sophia Yona; her brothers, Calvert Nkurlu, Julius Nkurlu, Francis Nkurlu, Modest Nkurlu and Fadhili Nkurlu.
In addition to her parents, Ms. Nkurlu was preceded in death by her brothers, Geoffrey and Ephraim Nkurlu and sister Miriam Nkurlu.
The family is in the care of Howell Funeral Home & Crematory in Goldsboro.

Mama Evelyn Nkurlu enzi ya uhai wake
Familia ya Marehemu Mzee Yonah Nkurlu na Bwana na Bibi Sembua Danieli zinasikitika kuwatangazia msiba wa Evelyn Nkurlu (Mama yake Lillian Kimweri na Mama Mkwe wa Sembua Danieli) uliotokea North Carolina Jumatatu October 14 2019.
Marehemu (Mama Lilly) kama alivyokuwa akifahamika kwa wengi, alikuwa akiishi North Carolina kwa binti yake Lillian Kimweri (NASHONA) mke wa Sembua Danieli.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani Tanzania inafanywa.
Msiba uko nyumbani kwa wafiwa 1175 Buck Swamp Road, Pikeville NC
Ili kukamilisha zoezi zima la kumsafirisha na kumhifadhi Mama yetu kwenye nyumba yake ya milele, tunaomba msaada wako wa kufedha, budget yeti kwa sasa ni $20,000.00
Tafadhali tuma mchango kwa njia zifuatazo
CashApp au Zelle kwa Sembua Danieli : 804-380-6801
gofundme BOFYA HAPA
Wells Fargo Bank
Sembua and Lilian Danieli
Routing 051400549
Account 1010103322700
Wafiwa wanapatikana:
~Lillian Danieli: 804-380-6802
~Dr. Sembua Danieli: 804-380-6801
"Bwana alitoa, na Bwana ametwaa: Jina la Bwana na libarikiwe"
~Lillian Danieli: 804-380-6802
~Dr. Sembua Danieli: 804-380-6801
"Bwana alitoa, na Bwana ametwaa: Jina la Bwana na libarikiwe"
MANA Ministry USA ( Washington DC ) KONGAMANO LA MAOMBI Nov 15 to 17th 2019
Mwl Christopher & Diana Mwakasege
Bwana Yesu Asifiwe.
PLEASE REGISTER TO ALLOW US TO PLAN FOR YOU!!
Ni ombi letu kwako kuwa utajiandikisha na kulipa reg fee $30 ili kuchangia gharama ya maandalizi za kongamano.
Ili Kujiandikisha ,tumia link
Venue:
*Hilton Hotel Rockville*
1750 Rockville Pike
Rockville MD 20852
For assistance/ details call/text: 240-565-7133 // 301-693-3807//703- 344-5611 // 516-238-3618// 703-992-3753
Subscribe to:
Posts (Atom)












