Advertisements

Saturday, October 13, 2012

EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE CONFERENCE 2012

 Moderater: Charles Mulisa akiongea katika Exhibition Vendor Booths Open. Exhibition Vendor Booths ilijumuisha mambo mengi kwa kila washiriki kuongelea vitu husika wanavyovifanya au wanavyopanga kuvifanya kwa ma nufaa ya East Africa. Kama Investment Opportunities, Harnessing Financial and Intellectual Capital for East Africa. Energy and Infrastructure Investment in East Africa, Agro Business solutions to Food Security, IT Unleashing the Regions Potential, Hospital and Tourism Investment.
 Hapa ni meza kuu kutoka kushoto ni Ho. Henry Banyenzaki, anaefata ni Ms. Pamela Hunter, H.E.Eng James nKimonyo and Dr. Laila Macharia.

 Dr.Laila Macharia akionge juu ya Investment Opportunities
 washiriki wa mkutano wakisikiliza na kufatilia kilicho kuwakina zungumzwa
 Kama wanavyo onekana katika picha wako makini kabisa kupata yale yanayo zungumzwa kwa manufaa ya  East Afriaca.

 Dr. Enos Bukuku (EAC) Deputy Secretary General akifuatilia mkutano huo akiwa sambamba na Hon, Dr. Mary Nagu Minister of Investmet and Empowerment in the Prime Minister's Office in Tanzania.
 H.E.Eng James Kimonyo akijibu swali aliloulizwa na moja wa shiriki wa mkutano huo juu ya East Africa Investment Oppurtunities









































































No comments: