ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 18, 2013

KIVUKO CHA MV MAGOGONI

Kivuko kikubwa cha MV Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa mwelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi. Abiria tayari wamevaa maboya lakini hali ya wasiwasi bado imetanda!:Credit:GPL

No comments: