Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza kuwa Kikao cha NEC kilikamilika vizuri ambapo wajumbe waliijadili Rasimu vizuri na CCM kubaki na msimamo wa Serikali mbili .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia CCM bado imebaki na msimamo wake wa Serikali mbili wenye maboresho.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia CCM bado imebaki na msimamo wake wa Serikali mbili wenye maboresho.
2 comments:
Utaboresha vipi Serikali mbili bila ya kuimeza Zanzibar??. Kinachowafanya musiwaachie wazanzibari nchi yao ni kipi?. SI munasema wanatumja pesa zenu za bara. Zikiwa mbili basi Serikali ya Tanzania Mara hii iitwe Serikali ya Zanzibar. Muko tayari?. Na watanzania wote waitwe Wazanzibari.
Huwa sikubaliani na CCM kwenye mambo mengi, lakini kwa hili la serikali mbili nakubaliana na CCM bila pingamizi. Nchi zimeungana serikali tatu za nini? La msingi ni kuboresha muungano...
Post a Comment