Advertisements

Sunday, August 31, 2014

WATOTO WAFURAHIA MICHEZO YA KUOGELEA NA MOONBOUNCE KATIKA SOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS


 Watoto nao wakifurahia mchezo wa kuogelea walipokuwa na wazazi wao kwenye Soka Festival iliyofanyika leo Jumapili Aug 31, 2014 chini ya Jumuiya ya Watanzania New England na kujumuisha Watanzania kutoka majimbo ya jirani.
 Watoto wakirukaruka kwenye Moonbounce yote ni katika kufurahia mjumuiko wa Watanzania wa Massachusetts na majimbo ya jirani.
 Nifuraha watoto wa Kitanzania wanapocheza pamoja.
Watoto wakiwa kwenye Moonbounce.
Watoto wakiogelea.


Watoto wakiwa nje ya Monbounce.
Watoto waruka kwenye maji.

No comments: