Thursday, January 1, 2015

Heri ya Mwaka Mpya - Karibu Ibada ya Kwanza 2015 - Jumapili 01/04/2015 Kuanzia Saa tisa na nusu alasiri

Heri ya Mwaka Mpya!
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
Heri ya Mwaka Mpya!
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015. Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya. Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!         * * *  www.iykcolumbus.org  * * *

No comments: