Thursday, December 31, 2015

JANUARY MAKAMBA AFANYA KIKAO NA WAJUMBE WA TUME YA PAMOJA YA FEDHA (JFC) JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (mbele), akitafakari jambo wakati wa kikao cha kujadili changamoto na utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) jijini Dar es Salaam leo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Abdulrahaman Jumbe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) katika Mkutano wa kujadili changamoto na utekelezaji wa majukumu ya Tume hiyo. (Picha na OMR)

1 comment:

Anonymous said...

SAMAHANI,SIELEWI KABISA HAWA TUME YA PAMOJA YA FEDHA NI NINI,NI YA AKINA NANI,WANAFANYA NINI,KUNA FAIDA GANI,YA NINI KUWEPO,JEE HAWA SI WALA PESA ZA BURE ZA SERIKALI KAMA TAASISI ILIYOUNDWA KUWANUFAISHA WAJANJA WACHACHE? KWA MAONI YANGU TUME HII IFUTILIWE MBALI.MASUALA YOTE YA FEDHA NI HAZINA,NA HAZINA INA KURUGENZI NYINGI MNO.WALIKAMATE HILI.