Sunday, January 10, 2016

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAMA BETISHEBA POLE KETANG'ENYI BALTIMORE, MARYLAND

Padri Honest Munishi wa kanisa Katoliki la Mt. Edward la Baltimore, Maryland akiongoza misa ya kumbukumbu ya mama Betisheba Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumamosi January 9, 2016 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
John Kyoma kutoka Dallas, Texas akisoma somo la kwanza.
Mama Mukami akisoma somo la pili
Mr and Mrs Sims wakisoma wasifu wa Mama Betisheba Ketang'enyi.
Frederick Ketang'enyi akitoa shukurani za familia.
Padri Honest Munishi akifanya maombi kwa familia.
Familia ikiwasha mshumaa kwenye picha ya mama yao.
Familia ikiwa katika picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



1 comment:

davidmusika said...

Ama kwa hakika hakuna neno lililo sahihi kumfariji aliyeondokewa na mpendwa wake!