Advertisements

Friday, January 1, 2016

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV

 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akihesabu sekunde zilizoslia kuelekea mwaka mpya kwenye sherehe ya mkesha wa mwaka mpya 2016 iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Alhamisi Desemba 31, 2015 iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV na kuwakutanisha wana DMV na familia zao wakiwemo marafiki kutoka majimbo mengine huku wengine wakiokea Tanzania
Wafuangaji champagne wakiwa tayari kama kikosi cha mizinga wakisubilia sekunde zilizobaki kuingia mwaka 2016 kuachia mizinga yao ikiwa ni sehemu yakusherehekea mwaka mpya wa 2016.
 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akifuahia kuuona mwaka mpaya, wapili toka kulia ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly pamoja na Asha Hariz (kulia) wakifurahia kuuona mwaka 2016.
WanaDMV wakikumbatiana kama familia moja na kupongezana "tumeuona mwaka 2016"
 Wanafamilia wakipongezana.
 Ni furaha ya mwaka mpya
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja kusherehekea kuuona mwaka,
Ni 2016 hiyo ni furaha kwa kwenda mbele.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi5 comments:

Anonymous said...

samahanini wajameni lakini mbona watu wazima sana hawa.vijana damu mbichi wapo wapi.

Anonymous said...

vijana damu mbichi watakuwa wamekwenda club..

Anonymous said...

vijana damu mbichi watakuwa walikwenda club!

Anonymous said...

Shida yako nini?

Anonymous said...

Na wewe lete sura lako Hapa u takuwa mmbovu haufai hata kwa bure!!nyambafu