Advertisements

Tuesday, April 11, 2017

ALICHOONGEA ZITTO BUNGENI LEO

1 comment:

Anonymous said...

Huyo Zito ni miongini mwa wanasiasa wanafiki Tanzania sio patriotic country man kama anavojitapa. Kwanza tusijidanganye kabisa kuwa demokrasia ndio maendeleo na sina maana ya kuibeza demokrasia bali tuache kuwachanganya akili watanzania na kuwapandikiza mawazo ghasi na kuanza kuleta vurugu kwa kisingizio cha demokrasia itakayowaletea maendeleo. Hata hizo nchi za kibepari zinazojiita nchi za kidemokrasia ziliendelea katika misingi isiokuwa ya kidemokrasia. Na demokrasia halisi sio blah blah tu au kufanya mikutano ya hadhara. Demokrasia halisi ipo katika misingi ya kiuchumi na hizo nchi zinazojiita nchi za kidemokrasia ni wakandamizaji wakubwa wa sera za kiuchumi kwa waafrica na kama si Mchina sijui Africa ingekuwa wapi hivi sasa? Na niambie china imepata maendeleo kwa misingi ya kidemokrasia.