Advertisements

Sunday, April 16, 2017

BRIDAL SHOWER YA MARYAM ATLANTA, GEORGIA NCHINI MAREKANI

Bi. harusi mtarajiwa Maryam akiwa mbele ya jukwaa kwenye kiti maalum siku ya Jumamosi Aril 15, 2017 Atlanta, Georgia nchini Marekani na kuhuduriwa na wageni mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia.
Bi. harusi mtarajiwa Maryam akiwa amezungukwa na zawadi kibao alizozawadiwa siku ya Jumamosi April 15, 2017 kwenye bridal shower iliyofanyika Atlanta , Georgia nchini Marekani
Mama mzaa chema (mwenye gauni la njano na kilemba) akiingia ukumbini.
Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.
Zawadi kwa mama mzaa chema.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: