Advertisements

Monday, April 17, 2017

KISOMO CHA MAMA YAKE MSELEM BI. MWAWANU KHAMIS DMV

Mwenye Kanzu ni Mselem akiwa kwenye kisomo cha mama yake Bi. Mwawanu Khamis kilichofanyika siku ya Jumamosi April 15, 2017 Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.
Ndugu, marafika na jamaa wa Mselem wakijumuika pamoja kwenye kisomo cha mama yake Bi. Mwawanu Khamisi kilichofanyika siku ya Jumamosi April 15, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani..
Mselemu mwenye kanzu (aliyesimama) akitoa neno la shukurani kwa marafiki, ndugu na jamaa waliofika kwenye kisomo cha mama yake Bi. Mwawanu Khamis kilichofanyika siku ya Jumamosi April 15, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: