Advertisements

Saturday, April 8, 2017

MSIKOSE KUSIKILIZA KIPINDI CHA BENDI ZETU CHA RADIO CITY FM 91.7 DAR,JUMAMOSI

Kama wewe ni mdau wa muziki wa dansi na unazitakia maendeleo bendi zetu basi usikose kusikiliza kipindi maalumu cha bendi zetu kitakachorushwa hewani na Radio City Fm 91.7 ya jiji Dar-es-salaam,
Kipindi ni saa 5 hadi 7 mchana. Na Jumapili kipindi ni saa 5 mpaka saa 8 mchana katika Frequence za City Fm ni 91.7 Dar-es-salaam,kipindi ambacho kitakuletea muziki wa bendi zetu pamoja na bendi za Tanzania zinazoshika chati za kimataifa kama Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni yenye makao kule ujerumani ambayo nyimbo zao zimeshaatua Radio City FM 91.7 ya Dar-es-salaam,Pia mnaweza kupiga simu Namba ya studio.022.2135244

No comments: