Advertisements

Sunday, April 9, 2017

'Mzee Kikwete aliniambia neema inakaa kwenye tumbo la shari' - Nape Nnauye

2 comments:

Anonymous said...

hii hotuba inajichanganya na kitendo cha mkumgeuka mkulu, sasa anawaza urais atasubiri sana. Hao watu wote walitajwa hapo walikuwa wanasikiliza ushauri wa kutoka juu, ndiyo maana waliibuka tena baadaye sisi yey. Sidhani hata kama akiamua kuhama wapinzani watampokea.Game is over.

Anonymous said...

Mdau @2:52 AM hujui ulisemalo. Kuna watu wachache sana katika CCM ambao wanaweza kumkwamisha JPM kushinda uchaguzi wa 2020. Nape Nnauye ni mmoja wao, wengine naweza kuwataja baadaye. JPM analijua hili, make no mistake. Labda mdau hujaifahamu sana siasa ya Tanzania na nguvu za Wanasiasa wa kusini katika chaguzi za Rais. Imekuwa hivyo toka enzi za Nyerere.