Sunday, June 25, 2017
RATIBA KAMILI YA EID EL FITR LEO JUMAPILI DMV
EID MUBAARAK
Assalamu Alaykum Rahmatullaahi Waarakaatuh
Kwa mujibu wa Misikiti ya maeneo ya DMV, leo in sha Allah ni siku ya Eid El Fitr.
Kwa niaba ya uongozi wa TAMCO, Tunapenda kuwapa mkono wa Eid, na Kuwakaribisha rasmi katika maadhimisho ya siku kuu hii tukufu.
Shughuli yetu itaanza na chai ya pamoja, itakayofanyika baada ya salaatil Eid, takriban saa tatu asubuhi.
Shughuli za mchana zitaanza kuanzia saa tisa ya jioni na kumaliza saa tatu usiku.
NB: Hall hili litakuwa wazi muda wote, kuanzia asubuhi mpaka saa tatu usiku kwa wale watakaopenda kubaki baada ya chai.
Address:
INDIAN SPRINGS TERRACE LOCAL PARK
9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD 20901
Kwa maelezo zaidi
Wasiliana na
Ali Mohamed 3015009762
Asha Hariz 7036242409
Shamis Abdullah 2025091355
Ali Mikidadi 2016282133
Wabillahi Tawfiiq.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment